Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
wakati yule joka anakwapua fedha za umma ikiwamo trilioni 1.5 aliyotuambia CAG ASSAD mlikaa kimya kwa kwa mlikuwa wanufaika, takati anaiba fedha za plea bargain mlikaa kimya. Wahuni wakabila nyie hampo objective.Ibara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma.
Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia Tanesco wahusika wanajulikana ila ndio hivyo wanabebana na kukindana.
Kama walioviongozi wanalindana na Kuvunja katiba kuibia taifa letu tutafika salama?
Serikali ya CCM hiiIbara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma.
Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia Tanesco wahusika wanajulikana ila ndio hivyo wanabebana na kukindana.
Kama walioviongozi wanalindana na Kuvunja katiba kuibia taifa letu tutafika salama?
wakati yule joka anakwapua fedha za umma ikiwamo trilioni 1.5 aliyotuambia CAG ASSAD mlikaa kimya kwa kwa mlikuwa wanufaika, takati anaiba fedha za plea bargain mlikaa kimya. Wahuni wakabila nyie hampo objective.
Patamu hapo, kama Serikali itadondokea kuwa Rasilimali ya Umma-Tuna wajibu wa kuilinda. Naami hakuna Katiba yeyote ile Duniani inayodai kinyume chake...Ibara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma.
Tanesco inahujumiwa kimkakati? ili ije iuzwe vipande vipande....subirini wale watakaoajiriwa bila ya mchakato wa tume za uajiri katika mashirika ya kiserikali kukamilika-nina wasiwasi kuna watu wamepewa sikio? halafu wakadanganya.?Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia Tanesco wahusika wanajulikana ila ndio hivyo wanabebana na kukindana.
Kama walioviongozi wanalindana na Kuvunja katiba kuibia taifa letu tutafika salama?