Afrika hata tungepata Rais Toka China ni poa TU mana waafrika ni makapi kichwani na hawana msaada wowote kiuchumi.
Nchi Ina wasomi aina ya Propesa Kitilya na Propesa Kabudi. Mpropesa Rabishi wanajadili uchumi wa ajira ya bodaboda kwenye nchi yenye ardhi kubwa yenye rutuba ,mito ,maziwa na madini.
Rubi Moja tu imeibiwa na kuuzwa Huko Dubai inathamani ya Kununua bodaboda zote nchini. Badala ya kuilazimisha serikali iwekeze kwenye kilimo ,mifugo na madini Kwa nguvu zote Kwa kuwaunganisha wasomi wote inahamasishwa udangaji wa bodaboda. Yaani uchumi unakua china wanaouza spea za Pikipiki na gharama kubwa inakua Kwa Matibabu ya Watanzania punde zinazotokea ajali za kila siku za bodaboda wasio na utaratibu wa kufanya shughuli hiyo.
Bara la Giza Bado watu wanajadili Utanganyika na Uzanzibari na Upemba na Umafia.
Sijui Mafia iliungana lini na Tanganyika au ni Kwa sababu Mkoloni hakuigwa kuwa Nchi. Ama kweli Dunia ni ya Mungu na vitu ni vya Mzungu.