Hizi gharama tutabebeshwa wabaraSherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
So what?Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Umempiga pabaya sana huyu memberKwani wakati wa mzee Ruksa ilikuwaje?
Ikiwa unaamini mzee Mwinyi si Mzanzibar halisi basi Hussein pia si Mzanzibar halisi.
Je msingi wa hoja yako ni upi?
Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.Kwani wakati wa mzee Ruksa ilikuwaje?
Mwinyi alizaliwa Kivure kwenye Mkoa wa Pwaniwa Tanzania bara lakini wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Kuanzia mwaka 1933 alipokea elimu ya msingi na sekondari kwenye shule za Mangapwani na Dole Secondary School alikohitimu mwaka 1942.Umempiga pabaya sana huyu member
Atajiona Kilaza ambaye hajui historia ya nchi hii
Nimecheka sana ulivyomjibu, Muda huu atakuwa anauma uma meno
Keeping the history right.So what?
Ruksa huyu wa hapo Mkuranga?Kwani wakati wa mzee Ruksa ilikuwaje?
Dr Hussein Mwinyi kazaliwa 1966 katika nchi inayoitwa Tanzania.Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar.
Inasaidia nini kukua kiuchumi dhidi ya vizazi vijavyo? Kuna mambo hata kuyaweka kwenye historia hayana maana na faida yoyote, Africa tutazidi kua wa masikini sana Kwa sababu ya mambo yasiyo na maana.Keeping the history right.
Yes, Hussein alizaliwa trh 23/12/1966 Unguja ndio maana anacho kitambulisho cha mkazi wewe huwezi kupewa pamoja na kuwa mtanzania na huwezi kugombea hata ujumbe wa Shehia Zanzibar.Dr Hussein Mwinyi kazaliwa 1966 katika nchi inayoitwa Tanzania.
Sidhani kama utaelewa!
Kwanini nisipewe?Yes, Hussein alizaliwa trh 23/12/1966 Unguja ndio maana anacho kitambulisho cha mkazi wewe huwezi kupewa pamoja na kuwa mtanzania na huwezi kugombea hata ujumbe wa Shehia Zanzibar.
Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Afrika hata tungepata Rais Toka China ni poa TU mana waafrika ni makapi kichwani na hawana msaada wowote kiuchumi.
Nchi Ina wasomi aina ya Propesa Kitilya na Propesa Kabudi. Mpropesa Rabishi wanajadili uchumi wa ajira ya bodaboda kwenye nchi yenye ardhi kubwa yenye rutuba ,mito ,maziwa na madini.
Rubi Moja tu imeibiwa na kuuzwa Huko Dubai inathamani ya Kununua bodaboda zote nchini. Badala ya kuilazimisha serikali iwekeze kwenye kilimo ,mifugo na madini Kwa nguvu zote Kwa kuwaunganisha wasomi wote inahamasishwa udangaji wa bodaboda. Yaani uchumi unakua china wanaouza spea za Pikipiki na gharama kubwa inakua Kwa Matibabu ya Watanzania punde zinazotokea ajali za kila siku za bodaboda wasio na utaratibu wa kufanya shughuli hiyo.
Bara la Giza Bado watu wanajadili Utanganyika na Uzanzibari na Upemba na Umafia.
Sijui Mafia iliungana lini na Tanganyika au ni Kwa sababu Mkoloni hakuigwa kuwa Nchi. Ama kweli Dunia ni ya Mungu na vitu ni vya Mzungu.
KwahyoSherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015