Tangu Ujiunge JamiiForums ni Jukwaa Gani Mpaka Leo Hujawai Kuingia?

Tangu Ujiunge JamiiForums ni Jukwaa Gani Mpaka Leo Hujawai Kuingia?

osmaney

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2017
Posts
1,042
Reaction score
998
Habari wanaJf..

Poleni na harakati za kutafuta maisha na hongereni sana kwa utafutaji.
MUNGU azidi kubariki juhudi zenu mnazoonesha.

Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba nisizunguke saana. nisije nikawachosha.

Unataja jukwaa na sababu zipi zinakufanya usiingie.

karibuni sana[emoji116]
 
Wewe kama mimi nalisikia tu hilo jukwaa la wakubwa naishia kwa haya majukwaa ya chekechea 😜😜😜
Ukiliona unitag....haulali??? Au ndio ume "hamuka" 😁
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Jukwaa la Siasa 😅😅😅😅 na historia...hilo la wakubwa lipo wapi 🤔ni invisible ama unahitaji special accsess?
 
Habari wanaJf..

Poleni na harakati za kutafuta maisha na hongereni sana kwa utafutaji.
MUNGU azidi kubariki juhudi zenu mnazoonesha.

Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba nisizunguke saana. nisije nikawachosha.

Unataja jukwaa na sababu zipi zinakufanya usiingie.

karibuni sana[emoji116]
Nasikiaga jukwaa la wakubwa sijui kuna makitu gani huko.
 
Back
Top Bottom