La wakubwa
Ukiliona unitag....haulali??? Au ndio ume "hamuka" πWewe kama mimi nalisikia tu hilo jukwaa la wakubwa naishia kwa haya majukwaa ya chekechea πππ
Ukiliona unitag....haulali??? Au ndio ume "hamuka" π
Nasikiaga jukwaa la wakubwa sijui kuna makitu gani huko.Habari wanaJf..
Poleni na harakati za kutafuta maisha na hongereni sana kwa utafutaji.
MUNGU azidi kubariki juhudi zenu mnazoonesha.
Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba nisizunguke saana. nisije nikawachosha.
Unataja jukwaa na sababu zipi zinakufanya usiingie.
karibuni sana[emoji116]
La wakubwa