Engineer Hassan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 477
- 504
Yaah niambie swahiba wangu kipenzi [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Swahibaaaaaaa.
Upo??Yaah niambie swahiba wangu kipenzi [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Imagine mtu ambaye hajajiunga humu jf akakuuliza tangu ujiunge jf umepata faida kwa kiwango kipi na vitu gani umepungukiwa baada ya kujiunga humu ?
Mimi tangu nijiunge humu JF baadhi ya vitu vyangu muhimu nimeshindwa kuvifanya on time kwa sababu ya kunogewa na mijadala mbalimbali inayoendelea humu JF,lakini vilevile kwa upande wa pili nimefanikiwa kwa kiasi fulani kuongeza uelewa juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea hapa nchini na duniani kwa ujumla.
You are among the reason nipo jf mpaka Leo.Kiukweli Hata Mimi nashindwa kufanya vitu changu on time kwa sababu ya mijadala,pia sometimes inakuwa disappointed na majibu mabaya ya watu.
Faida
Kwanza nimepata Marafiki wengi,wa ndani na nje ya nchi. Haswa zaidi kipenzi relato
Pili nimeongeza ufahamu na ninaongeza ufahamu wa siasa haswa kupitia kwa BAK
Tatu,ninajifunza mengi kupatia matatizo,shida na raha za watu wengine kupitia nyuzi zao za kijamii.
Nne ninajifunza kuhusu mapenzi (napenda sana topic za mapenzi)
Amen. Asante sana rafiki yangu kipenzi.You are among the reason nipo jf mpaka Leo.
Nikuulzwa hilo Swali jibu moja tu. Nimepata rafiki wa kweli maishani mwangu kupitia jf.
Live long maserati wangu,Mungu akupe miaka tele kwa ajili yangu na wale wote tunaokupenda
Kiukweli Hata Mimi nashindwa kufanya vitu changu on time kwa sababu ya mijadala,pia sometimes inakuwa disappointed na majibu mabaya ya watu.
Faida
Kwanza nimepata Marafiki wengi,wa ndani na nje ya nchi. Haswa zaidi kipenzi relato
Pili nimeongeza ufahamu na ninaongeza ufahamu wa siasa haswa kupitia kwa BAK
Tatu,ninajifunza mengi kupatia matatizo,shida na raha za watu wengine kupitia nyuzi zao za kijamii.
Nne ninajifunza kuhusu mapenzi (napenda sana topic za mapenzi)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimefaidika kuongeza uwezo wangu wa kiakili na hasa kujenga ' Hoja ' kutoka kwa very Geniuses Members wa JF hadi huku ' Kitaa ' nakubalika na naogopeka mno na ' wajinga wajinga ' waliojazana. Hasara niliyoipata kutoka kwa JF ni kwamba uwepo wangu humu 24/7 umesababisha kupunguza ' ushirikiano ' wangu wa ' Kibaiolojia ' na Mpenzi wangu hasa tuwapo Kitandani.
Duh,basi left swahibaOvyo hakuna lolote humu
Kila jukwaa wapo ila chit chat ndio sanaHao marafk wako jukwaa lip