Jf imenifanya niijue dunia kwa upande wa pili kupitia members kadhaa...
Nimepata marafiki weengi mnoo, wenye upendo, wanaojielewa na wanaojiheshimu. Mashost ndo usiseme..
Zaidi ya yooote, nimempata mdogo wangu wa dar Shunie, Kivuruge wangu nampenda kweeli huwa ananielewa mnoo...
Hasara siyo saana maana zinakwepeka, we ukiniudhi sina muda na wewe nakupuuza tuu. Ila bando ndugu daaah halikwepeki, kuna muda huwa najikuta nasimamisha ratiba kidogo sababu ya mijadala lakini hilo naweza limudu sio changamoto kivilee