Tangu ujiunge jf umefaidika na kupungukiwa na nini?

Tangu ujiunge jf umefaidika na kupungukiwa na nini?

Nimepungukiwa kwenda Whatsapp,Facebook na Instagram....Nimenogewa sanasana huku kwa sababu napata maarifa mapya kuzidi huko WTF ambako sana sana ni kuoneshana mbwembwe tu..Huku ni Hoja za maana tu
 
Aah mpaka naanza kuona wivu imegeuka thread ya kusifiana tuuu.

Nimefaidika kupunguza jam kwenye gallery yangu,nikipata picha tu natupia humu kazi kwisha.

Hasara vocha za MB haka ka mtandao kanakula MB kwa video na kadhalika
Ha ha ha ha.pole Sana ndugu. Wivu kidonda
 
asee nmapata elimu sna kuptia liwaya na mkala mbali mbali mgano INTERNATIONAL SPACE..UTATA KUHUSU KIFO CHA JF KENNEDY NA KUHSU MUAMAL GADAFI..niksoma hzo.mamboo naburudka sna yaani.
 
Jf imenifanya niijue dunia kwa upande wa pili kupitia members kadhaa...

Nimepata marafiki weengi mnoo, wenye upendo, wanaojielewa na wanaojiheshimu. Mashost ndo usiseme..

Zaidi ya yooote, nimempata mdogo wangu wa dar Shunie, Kivuruge wangu nampenda kweeli huwa ananielewa mnoo...

Hasara siyo saana maana zinakwepeka, we ukiniudhi sina muda na wewe nakupuuza tuu. Ila bando ndugu daaah halikwepeki, kuna muda huwa najikuta nasimamisha ratiba kidogo sababu ya mijadala lakini hilo naweza limudu sio changamoto kivilee
 
Mimi imenisaidia kubadilishana mawazo na wanachama.Na kupata taarifa kwa wakati,
na kunikutanisha na marafiki.
Naipenda JF
Nisamehe nikiwa nimekuudhi
Kiukweli umetokea kunivutia Sana we Dada
Am sorry lakini
 
Back
Top Bottom