Tangu uzaliwe mpaka sasa 2022, ni wimbo gani bora kwako?

Tangu uzaliwe mpaka sasa 2022, ni wimbo gani bora kwako?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi:

Ni bila kuangalia

_AINA YA MUZIKI
_UJUMBE
_MSANII ALIYEIMBA
_HADHIRA ILIYOKUSUDIWA
_UKUBWA WA MWANAMUZIKI
_MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA LEBO, PROMOTA, MSANII, MEDIA

***********
NI WIMBO GANI BORA KWAKO,
TANGU UANZE KUSIKIiLiZA MUZIKI
mpaka leo hii.

Angalizo ni umri wa...18+
 
Nimeshindwa kuweka moja pekee na upande wa bongo fleva siwezi uacha hivihivi..😂
 
Sasa nyimbo Kama hii naiachaje..? Kusema kweli binafsi zipo nyingi siwezi kusema moja walahi.😃
 
hahaha mkuu..ndo inatakiwa uhutaje mmoja tu.. katika zote uzijuazo
Ndo kilichonishinda maana kwangu nyimbo ni mood huwa inatokea asubuhi tu ikawa kichwani inaimba wimbo fulani ama nyimbo fulani.
 
Back
Top Bottom