Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
mimi hata niwe usingizin.ukitaja muziki mzuri/wimbo mzuri ni huu :: LONDON BEAT-THINKIN ABOUT YOUView attachment 2075347 Sasa nyimbo Kama hii naiachaje..? Kusema kweli binafsi zipo nyingi siwezi kusema moja walahi.😃
nimesema wimbo sio NYIMBOWimbo uliobora
Tenzi
Nyimbo za wokovu.
Wimbo wa Musa
hahaha mkuu..ndo inatakiwa uhutaje mmoja tu.. katika zote uzijuazoNimeshindwa kuweka moja pekee na upande wa bongo fleva siwezi uacha hivihivi..😂
View attachment 2075346
Ndo kilichonishinda maana kwangu nyimbo ni mood huwa inatokea asubuhi tu ikawa kichwani inaimba wimbo fulani ama nyimbo fulani.hahaha mkuu..ndo inatakiwa uhutaje mmoja tu.. katika zote uzijuazo
Diamond i miss you hivi ngoma kiboko tan video ile balaa narudia mara kibao