Tangu vuguvugu la Mzee Lowassa hatuoni wala kusikia tena wimbi la wanaccm kuhamia CHADEMA. Tatizo nini?

Tangu vuguvugu la Mzee Lowassa hatuoni wala kusikia tena wimbi la wanaccm kuhamia CHADEMA. Tatizo nini?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na CHADEMA.

Hali hiyo kwa sasa haipo kabisa badala yake kila mara tunatangaziwa wanachama wa CHADEMA wanakihama chama hicho na kurudi CCM.

Hali hii inasababishwa na nini!?
 
Maskini wengi wa nchi hii ni wapinzani matajiri wengi wa nchi hii ni wapinzani
Viongozi wengi wa selikari ni wapinzani hata mwandishi wa juu Uzi ni mpinzani

Upinzani ni mawazo yaliyo tofauti na mwingne

Unao waona wanaenda kuungana na chama fulan sio malengo yao ila ni njaa zao za muda huo
 
Kabla ya 2015 kila chama kilikuwa kinaruhusiwa kufanya siasa mikutano ya hadhara, baada ya kuingia dikteta akaruhusu CCM wafanye peke yao, CHADEMA wanafuatiliwa kila kona hawana uhuru CCM wapo huru, ruhusu uwanja sawa ndiyo tujue kama hawana au wanao
 
Maskini wengi wa nchi hii ni wapinzani matajiri wengi wa nchi hii ni wapinzani
Viongozi wengi wa selikari ni wapinzani hata mwandishi wa juu Uzi ni mpinzani

Upinzani ni mawazo yaliyo tofauti na mwingne

Unao waona wanaenda kuungana na chama fulan sio malengo yao ila ni njaa zao za muda huo
Good ndiyo ukweli huu
 
Ni wapumbavu pekee tu watakaohamia chadema, Nani anataka kufukuzana na polisi kila dakika? Karibuni ccm tuitafune nchi, tz ni shamba la Bibi hakuna mwenye uchungu nayo ni mwendo wa kujichumia tu.
 
Sasahivi tunapiga kazi kuhama vyama kunauchaguzi saii??
Mshamba nini?
 
Back
Top Bottom