The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Good ndiyo ukweli huuMaskini wengi wa nchi hii ni wapinzani matajiri wengi wa nchi hii ni wapinzani
Viongozi wengi wa selikari ni wapinzani hata mwandishi wa juu Uzi ni mpinzani
Upinzani ni mawazo yaliyo tofauti na mwingne
Unao waona wanaenda kuungana na chama fulan sio malengo yao ila ni njaa zao za muda huo