buhoro ksl
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 248
- 246
Sehemu yenye kilimo basi kuna chakula kingi..unajua Intelligent ya mtu hutokana na vyakula mbali mbali anavyokula? You know why Israel peoples are so smart? Wana mfumo wa wa vyakula na jinsi ya kuwatreat wanawake wenye ujauzito! Kigoma1.Kigoma
Hii mikoa inavipaji sana vya kilimo..👏👐
1Kigoma
2.Morogoro
3.Mbeya
4.Arusha
5.Tanga
Wale jamaa wabaguzi watakuja kupinga eti na mkoa wait uwemo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wazaramu nao wamo1Kigoma
2.Morogoro
3.Mbeya
4.Arusha
5.Tanga
Wale jamaa wabaguzi watakuja kupinga eti na mkoa wait uwemo🤣🤣🤣
Ndio mikoa ya kurido la chakula ambayo iliratibiwa na pinda ule mpango sijui umeishia wapi?1.Kigoma
2.Mbeya
3.Katavi
4.Songwe
5.Morogoro
6.Iringa
7.Ruvuma
8..Njombe
9.Rukwa
10.Kagera
Hii mikoa inavipaji sana vya kilimo..👏👐
Labda weusiTuwe serious kidogo. Sasa Arusha vipaji gani?! Au vipaji tunavyotoaga kanisani jumapili?