Tano bora ya mikoa inayoongoza kwa vipaji

Tano bora ya mikoa inayoongoza kwa vipaji

buhoro ksl

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
248
Reaction score
246
1Kigoma
2.Morogoro
3.Mbeya
4.Arusha
5.Tanga


Wale jamaa wabaguzi watakuja kupinga eti na mkoa wait uwemo🤣🤣🤣
 
1.Kigoma
2.Mbeya
3.Katavi
4.Songwe
5.Morogoro
6.Iringa
7.Ruvuma
8..Njombe
9.Rukwa
10.Kagera

Hii mikoa inavipaji sana vya kilimo..👏👐
 
1.Kigoma
Hii mikoa inavipaji sana vya kilimo..👏👐
Sehemu yenye kilimo basi kuna chakula kingi..unajua Intelligent ya mtu hutokana na vyakula mbali mbali anavyokula? You know why Israel peoples are so smart? Wana mfumo wa wa vyakula na jinsi ya kuwatreat wanawake wenye ujauzito! Kigoma
Kuna chakula cha kutosha na kubwa Zaidi ni Samaki wanaovuliwa ziwa Tanganyika wana virutubisho ambavyo huu stimulate ubongo..Ndio maana watu wengi wa kule ni very talented and smart + Hardworking.
Sadly serikali yao imewanyima Elimu toka zamani (Though na baadhi ya mila zachangia)
 
Tuwe serious kidogo. Sasa Arusha vipaji gani?! Au vipaji tunavyotoaga kanisani jumapili?
 
Nahisi umetumia Bongo Flavor kama ndio kigezo halisi cha "Vipaji"!
 
Young killer
Yondani Calvin
Mrisho ngasa
Fareed kubanda
Sir George kahama
King Magu
 
Kigoma-Uchawi
Morogoro-kuchomoa betri
Mbeya-Washirikina
Arusha-Bangi
Tanga-Uzinzi
Kwa niaba ya mleta uzi alisahau kuandika vipaji vya nini.
 
1.Kigoma
2.Mbeya
3.Katavi
4.Songwe
5.Morogoro
6.Iringa
7.Ruvuma
8..Njombe
9.Rukwa
10.Kagera

Hii mikoa inavipaji sana vya kilimo..👏👐
Ndio mikoa ya kurido la chakula ambayo iliratibiwa na pinda ule mpango sijui umeishia wapi?
 
Back
Top Bottom