GE2025 Tano Seif achukua fomu kuomba ridhaa (CCM) kugombea ubunge katika jimbo la Temeke

GE2025 Tano Seif achukua fomu kuomba ridhaa (CCM) kugombea ubunge katika jimbo la Temeke

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Kalambo mkoani Rukwa na Busega mkoani Simiyu, Tano Seif Mwera amechukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge katika jimbo la Temeke.

Mwera amesema kilichomsukuma kuchukua fomu hiyo ni mwamko wa kufanya vizuri kwa wanawake katika nafasi za uongozi nchini sambamba na uzoefu wa miaka saba ya kuongoza katika wilaya hizo ambao umempa maarifa na nguvu ya kuwazungumzia wananchi wa Temeke.
1751373718711.png
 
Back
Top Bottom