Hapa kinachosaidia hii junction iko busy hivyo magari yakifika hapo yanakuwa slow na jamaa wa mwendokasi ni wapole huwa wanasubiri. Ila kukiwa hamna gari mtu kajiachia akijua taa ni kijana lazima kiwake.Kuna watu wanakula mishahara ya bure hii nchi
Wanafaa kuongozwa kwa Viboko tu kama Wanyama 🤣Upeo wa Mwafrica sio wakuongozwa na mataa wanaforce tuu.
Hapo unatakiwa utoke hadi service road halafu utumie service road kuingia main road huko mbele. Hii nimeona hapa kati ya mataa ya chang'ombe na Tamara. Huwezi kuingia main road direct ukitoka upa de wa Quality Plaza.Tuna changamoto pia maeneo ya Mombasa. Kama umetokea Moshi Bar kwa wale wanao jua sehemu hiyo, hakuna taa zinazokuruhusu wakati inaingia main road ili upite upande wa pili kwenda mjini. Unasubiri fadhili ya Red signal ya kuzuia magari yaliyotoka mjini au Gongo la mboto update nafasi ya kupita. Na wakati huo huo ndio Green signal ya mwendo kasi kupita.....
ExactlyJamaa anapoint maanake hata taa ikiwaka nyekundu bado kuna watu wanapita tu bila kujali.
Hakuna service road katika eneo hili.Hapo unatakiwa utoke hadi service road halafu utumie service road kuingia main road huko mbele. Hii nimeona hapa kati ya mataa ya chang'ombe na Tamara. Huwezi kuingia main road direct ukitoka upa de wa Quality Plaza.
waje kufanya niniWakoloni warudi tu
Kuongoza nchiwaje kufanya nini
hatuna viongozi ?Kuongoza nchi