Tukiwa tunaendeles kusoma ripoti ya CAG pia tulitupie ili la barabara ya mbadala (Diversion) kutokea Mabatini kuelekea Buzuruga kupitia mtoni Shule hii barabara ni Mbaya haifai Kwa matumizi hivyo nikuomba TANROAD, Mkuu wa Mkoa waingalie hii barabara kwa jicho la tatu kabla ya hali kuwa Mbaya zaidi.