Tanroad

Tanroad

Piero94

New Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
4
Reaction score
2
Sehemu ninayoishi, Kuna ujenzi wa barabara Ya lami,. Tatizo linakuja kwa wanaotengeneza,, wamekuwa wakikata matairi ya vyombo vya moto ili kuwakomoa madereva wanaopita,,. Wakati hawajatengeneza hata barabara mbadala, Sasa kwa wanaojua sheria hii ni haki kweli,. Naombeni nipatiwe sheria za ujenzi wa barabara maana nataka niwashitaki,, nikiwa kama muhanga wa manyanyaso ya hawa Kenge
 
Back
Top Bottom