TANROADS hawana uwezo wa kudesign barabara nzuri kama za Kenya?

Kuna jamaa juzi tu ametoka kuongea hii issue kijiweni hii serikali ya hovyo sana
 
Sasa kwanini wanasheria wetu wasiwe wanawashtaki hawa wakandarasi wanaotuharia nchi kama wao ndiyo moja ya sababu ya haya yote
 
Sasa we unaona sahihi kikundi cha watu wachache kigawane billion 500 za kifisadi ama hizo hela zielekezwe kwenye ujenzi wa taifa?
 
Bongo huwezi kutana na watu wa mamlaka wanaotumia akili inapopaswa kutumia akili...

Mbezi Mwisho pale tu kuweka zile over pass ilikuwa ni baada ya kupigiwa kelele...
Wakitatua kila tatizo watakosa vya kupigia kampeni. Wimbo ni fedha hamna ila anasa zinafanyika za kununua kila toleo la Landcruiser 😂
 
Mambo ya tanzania ukifuatilia unaweza kujikata pumbu bure kwa hasira bora tuenddlee kula tu mbususu
 
Umesema sahihi

Suala la kupungua kwa maadili limechangia pakubwa kufikia huku.

Ndiyo maana leo hii barabara yenye design life ya miaka 20 unakuta baada ya miaka 5 tu unakuta imeshaanza kuzibwa Viraka
Mkuu wewe ni Mhandisi? Unajua 10% of road is allowed to perform unsatisfactorily hata kama Ina week?
 
Nilichojifunza kwenye huu Uzi watu wasio wa Fani Husika huwa kimbelembele sana kukosoa Fani zingine.
 
Nilichojifunza kwenye huu Uzi watu wasio wa Fani Husika huwa kimbelembele sana kukosoa Fani zingine.
Kinyume chake ni sahihi pia, wasio na fani husika ndio huja kimbelembele kusifia pale ambapo fani fulani inapofanya vizuri. 🤓
 
Mkuu wewe ni Mhandisi? Unajua 10% of road is allowed to perform unsatisfactorily hata kama Ina week?
Ndiyo Mkuu ....

Hiyo allowances inaruhusiwa japo hatutegemei kutokea mapema hivyo

Angalia kipande cha barabara kutoka Igawa pale Mbeya hadi Makambako kilivyo kizuri

Hii ina implies kuwa quality met during construction

Then angalia kipande cha barabara kutoka Iringa hadi Dodoma kupitia Mtera kilivyo kibovu

Nachotaka kusema ni kuwa 10% inachangia pakubwa sana kwenye kudhoofisha miundombinu yetu kabla ya wakati
 
Sasa we unaona sahihi kikundi cha watu wachache kigawane billion 500 za kifisadi ama hizo hela zielekezwe kwenye ujenzi wa taifa?
Tungeweza tungekupunguza matumizi yasiyofaa ili fedha nyingi ya Bajeti ielekezwe kwenye ujenzi wa miundombinu

Unajua siku hizi Mawazili wanatumia magari yale LC300 ambayo yanauzwa zaidi ya milioni 400.

Nadhani tubane matumizi na pia kupiga vita ufisadi ili fedha tunazokusanya tuelekeze kwenye shughuli za maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu
 
Mawaziri wangeweza kutumia prado 150 na maisha yakawa vizuri tuu
 
Mawaziri wangeweza kutumia prado 150 na maisha yakawa vizuri tuu
Kabisa, kuna ziara moja nilikutana na Mama Ummy yule wa afya.

Alishuka kwenye hiyo LC300 alizonunua Mwigulu kwa mawaziri wenzie

Thamani ya hizo gari ni sawa na kituo 1 cha afya kwenye Kata huko Halmashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…