Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
That's research mkuu Mpaka imeingia kwenye manuals zetu, PMDM inaruhusu asilimia 10 ya urefu wa Barabara kuwa ufanisi usioridhishaNdiyo Mkuu ....
Hiyo allowances inaruhusiwa japo hatutegemei kutokea mapema hivyo
Angalia kipande cha barabara kutoka Igawa pale Mbeya hadi Makambako kilivyo kizuri
Hii ina implies kuwa quality met during construction
Then angalia kipande cha barabara kutoka Iringa hadi Dodoma kupitia Mtera kilivyo kibovu
Nachotaka kusema ni kuwa 10% inachangia pakubwa sana kwenye kudhoofisha miundombinu yetu kabla ya wakati
