TANROADS hawana uwezo wa kudesign barabara nzuri kama za Kenya?

TANROADS hawana uwezo wa kudesign barabara nzuri kama za Kenya?

Ndiyo Mkuu ....

Hiyo allowances inaruhusiwa japo hatutegemei kutokea mapema hivyo

Angalia kipande cha barabara kutoka Igawa pale Mbeya hadi Makambako kilivyo kizuri

Hii ina implies kuwa quality met during construction

Then angalia kipande cha barabara kutoka Iringa hadi Dodoma kupitia Mtera kilivyo kibovu

Nachotaka kusema ni kuwa 10% inachangia pakubwa sana kwenye kudhoofisha miundombinu yetu kabla ya wakati
That's research mkuu Mpaka imeingia kwenye manuals zetu, PMDM inaruhusu asilimia 10 ya urefu wa Barabara kuwa ufanisi usioridhisha
 
Kabisa, kuna ziara moja nilikutana na Mama Ummy yule wa afya.

Alishuka kwenye hiyo LC300 alizonunua Mwigulu kwa mawaziri wenzie

Thamani ya hizo gari ni sawa na kituo 1 cha afya kwenye Kata huko Halmashauri
Nasikia zipo lc300 kibao zimepaki tuu bila matemgenezo, wameenda kununua nyingine.
 
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.

Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.

View attachment 2867192
Uwezo wanaona ila Sasa wanasingizia Bajeti ndogo.

Just imagine Budget ya Kenya ni Shilingi Trilioni 85 wakati ya Tanznaia ni Trilioni 55 ,Kuna Trilioni 30 zaidi Wametuzidi.
 

View: https://youtu.be/7eTffANxShQ
Hivi hii plan ilikuwaje ikabadilishwa na sasa wanaendelea kujenga kitu kile kile? :FLUSH:

Screenshot_20240409-032754.jpg
 
Hii ndo nchi ambayo inapotengwa pesa ya mradi wajuba wanaigawana kwanza kinachobaki kwa aibu ndo wanakielekeza kwenye mradi
 
Back
Top Bottom