Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Swala ni zimetumika bila idhini zimetumika kufanya nn?
Waweke taarifa kamili, zilitumika bila idhini, zilitumika kufanya nn? In construction kuna miradi inaenda over the budget na megine watu analipa penalt za ucheleweshaji malipo. Bila kusahau ahadi za Raisi, kafanya ziara jimboni wamemuomba nae ana ahidi kinachofanya hapo ni utekelezaji tu.
Hapa ndio Jiwe alipokuwa anapigia kinyama !Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC) imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo)
Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu?
Je,taarifa za aina hii zimeshatolewa mara ngapi na Bunge hili limewahi kuchukua hatua gani kwa wanaofanya matumizi bila idhini ya Bunge?
Hata hili la TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge nalo litapita tu kama yalivyopita mengine.
Nimeyakumbuka maneno ya Prof.Asaad yaliyopekea akaitwa kujieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka
ya Bunge.
Kilaza katika ubora wakoKama wametumia kujenga barabara na hizo barabara zinatumiwa na watanzania hamna ubaya wowote, gaidi Mbowe alikula billion 7 za michango ya wabunge na hakufanywa chochote.
Wanatoa wapi hizo hela? Kama sio wamepewa na wizara.Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC) imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo)
Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu?
Je,taarifa za aina hii zimeshatolewa mara ngapi na Bunge hili limewahi kuchukua hatua gani kwa wanaofanya matumizi bila idhini ya Bunge?
Hata hili la TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge nalo litapita tu kama yalivyopita mengine.
Nimeyakumbuka maneno ya Prof.Asaad yaliyopekea akaitwa kujieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka
ya Bunge.
Kama wametumia kujenga barabara na hizo barabara zinatumiwa na watanzania hamna ubaya wowote, gaidi Mbowe alikula billion 7 za michango ya wabunge na hakufanywa chochote.
Mzalendo mfugale alikuwa anatafuna hela tuEti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC) imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo)
Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu?
Je,taarifa za aina hii zimeshatolewa mara ngapi na Bunge hili limewahi kuchukua hatua gani kwa wanaofanya matumizi bila idhini ya Bunge?
Hata hili la TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge nalo litapita tu kama yalivyopita mengine.
Nimeyakumbuka maneno ya Prof.Asaad yaliyopekea akaitwa kujieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Haa TehMzalendo mfugale alikuwa anatafuna hela tu
Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC), imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo).