saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Hizi taasisi za serikali haziko kutatua matatizo ya watanzania, ukitoka Arusha kuelekea Moshi kuna vituo vikubwa km Tengeru, Leganga, Usa-River, Maji ya Chai, Maroroni, Kikatiti. Shida kutoka Maroroni mpk Kikatiti ni zaidi ya kilomita 15 hakuna kituo. Kwanini TANROADS msijenge kituo pale shule ya msingi Kimandafu au kwa Pallangyo? Mpaka aje kiongozi gani awaelekeze?