TANROADS Mkoa wa Arusha jengeni kituo Maroroni kwa Pallangyo

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Hizi taasisi za serikali haziko kutatua matatizo ya watanzania, ukitoka Arusha kuelekea Moshi kuna vituo vikubwa km Tengeru, Leganga, Usa-River, Maji ya Chai, Maroroni, Kikatiti. Shida kutoka Maroroni mpk Kikatiti ni zaidi ya kilomita 15 hakuna kituo. Kwanini TANROADS msijenge kituo pale shule ya msingi Kimandafu au kwa Pallangyo? Mpaka aje kiongozi gani awaelekeze?
 
Mtafte jon D pale nyumbani kwake atawasaidia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…