John Mwaisengela
Member
- May 6, 2024
- 77
- 103
Kuna kitu kinakera mno pale ambapo unatengeneza tatizo na kuliacha wananchi wateseke. Tanroads barabara za Kigamboni kama mlikuwa hamna pesa hakukuwa na ulazima wa kuzifumua na kuacha kero kwa matumizi.
Kipande cha Kutoka Mzunguko wa wa Darajani kama unaenda Kisiwani kuna kipande palikuwa hamna shida vile sasa mmefumua barabara na kuacha mwezi wa 3 sasa, haya kuna kipande kingine pale Kibada napo mmeharibu na kuacha njia mbovu.
Haya kuna hii ya mji mwema kipande karibu na ofisi za Wilaya napo mmeharibu na kupaacha. Nasikitika sana kama mlikuwa hamna pesa mgepaacha hivo hivo mara elfu.