KERO TANROADS na Kigamboni kuna nini?

KERO TANROADS na Kigamboni kuna nini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
May 6, 2024
Posts
77
Reaction score
103
Kuna kitu kinakera mno pale ambapo unatengeneza tatizo na kuliacha wananchi wateseke. Tanroads barabara za Kigamboni kama mlikuwa hamna pesa hakukuwa na ulazima wa kuzifumua na kuacha kero kwa matumizi.

Kipande cha Kutoka Mzunguko wa wa Darajani kama unaenda Kisiwani kuna kipande palikuwa hamna shida vile sasa mmefumua barabara na kuacha mwezi wa 3 sasa, haya kuna kipande kingine pale Kibada napo mmeharibu na kuacha njia mbovu.

Haya kuna hii ya mji mwema kipande karibu na ofisi za Wilaya napo mmeharibu na kupaacha. Nasikitika sana kama mlikuwa hamna pesa mgepaacha hivo hivo mara elfu.
 
Kuna kitu kinakera mno pale ambapo unatengeneza tatizo na kuliacha wananchi wateseke. Tanroad barabara za Kigamboni kama mlikuwa hamna pesa hakukuwa na ulazima wa kuzifumua na kuacha kero kwa matumizi. Kipande cha Kutoka Mzunguko wa wa Darajani kama unaenda Kisiwani kuna kipande palikuwa hamna shida vile sasa mmefumua barabara na kuacha mwezi wa 3 sasa, haya kuna kipande kingine pale Kibada napo mmeharibu na kuacha njia mbovu. Haya kuna hii ya mji mwema kipande karibu na ofisi za Wilaya napo mmeharibu na kupaacha. Nasikitika sana kama mlikuwa hamna pesa mgepaacha hivo hivo mara elfu.
Barabara zote nchini,
zitaendelea kujengwa kwa viwango mbalimbali, na ni furaha iliyoje, Barabara nyingi zipo katika hatua mbalimbali za ujenzi na zinatarajiwa kukamilika kulingana na muda wa mtaba husika, na hapatakua na muda wa ziada.

Ni muhimu wanananchi kua wastahimilivu na wenye subra wakati kazi za ujenzi zikiendelea, kwani miradi hii ni kwaajili ya maslahi ya waTanzania wote🐒
 
Umemuelewa lakini anachokilalamikia mtoa mada ndugu yangu?
 
Barabara zote nchini,
zitaendelea kujengwa kwa viwango mbalimbali, na ni furaha iliyoje, Barabara nyingi zipo katika hatua mbalimbali za ujenzi na zinatarajiwa kukamilika kulingana na muda wa mtaba husika, na hapatakua na muda wa ziada.

Ni muhimu wanananchi kua wastahimilivu na wenye subra wakati kazi za ujenzi zikiendelea, kwani miradi hii ni kwaajili ya maslahi ya waTanzania wote🐒
Mtoa mada

Mleta mada apingani na wewe ila anachosema wanabomoa then wanakaa mda mrefu bila kuendelea na ujenzi matokeo yake panakuwa kero kwa madereva
 
Sio kwa spidi hiyo ya konokono mkuu, hicho kipande cha barabara ya kisiwani kina muda mrefu sana adi ishakuwa kero na hakuna dalili zozote zinazoonekana kama kuna mkandarasi anaendelea na kazi.
 
Kipande cha Kutoka Mzunguko wa wa Darajani kama unaenda Kisiwani kuna kipande palikuwa hamna shida vile sasa mmefumua barabara na kuacha mwezi wa 3 sasa, haya kuna kipande kingine pale Kibada napo mmeharibu na kuacha njia mbovu.
HIki kipande mbali na kukifumua na kukitelekeza pia ni chembamba mno kuna foleni ya balaa pale kutwa nzima hadi pale njia panda ya kwenda Hosp ya Vijibweni ni lazima barabata iwe njia nne - ipanuliwe.

KIgamboni inakuwa kwa kasi ya ajabu.
 
Sio kwa spidi hiyo ya konokono mkuu, hicho kipande cha barabara ya kisiwani kina muda mrefu sana adi ishakuwa kero na hakuna dalili zozote zinazoonekana kama kuna mkandarasi anaendelea na kazi.
nadhani mkataba unawezakua ni wa miezi 36,

ile ya muhimu zaidi,
ni kwamba wahusika wanawajibika kisheria kuhakikisha kuna barabara mbadala inayopitika bila tashwishwi yoyote katika kipindi chote cha ujenzi.

Hata hivyo,
ni matumaini yangu changamoto na kero kwenye barabara tajwa, zimewafikia wahusika, na watawajibika kudhibiti vumbi na kuongeza spidi ya ujenzi ili hatimae watu wa kigamboni waweze kuindokana na kero hiyo.

hakuna sababu ya kusubiri hadi hadi mwisho wa mkataba kukamilisha mradi 🐒
 
Hakuna hiyo sababu ya kuchukua muda mrefu hivyo na kodi zinaokotwa kila leo.
 
HIki kipande mbali na kukifumua na kukitelekeza pia ni chembamba mno kuna foleni ya balaa pale kutwa nzima hadi pale njia panda ya kwenda Hosp ya Vijibweni ni lazima barabata iwe njia nne - ipanuliwe.

KIgamboni inakuwa kwa kasi ya ajabu.
Hicho kipande cha kuanzia kwa steven ni cha kupanuliwa, jam ni kubwa sana na itazidi kutokana na kasi ya maendeleo ya kigamboni.
 
Mtoa mada

Mleta mada apingani na wewe ila anachosema wanabomoa then wanakaa mda mrefu bila kuendelea na ujenzi matokeo yake panakuwa kero kwa madereva
ni muhimu kua na ustahimilivu na subra kidogo,

na bilashaka yoyote ile ,
kwa namna lilivyo wasilishwa, tayari limeshawafikia wahusika na sina shaka litashughulikiwa, ili hatimae wananchi wa kigamboni waondokane na kero hiyo 🐒
 
Back
Top Bottom