TANROADS njooni muone aibu

TANROADS njooni muone aibu

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Sitii neno. Hawa ni majirani zetu tu hapo Kenya na Uganda (Entebbe Kampala express way picha ya chini).

Nikifkiria kinachoendelea pale Mbezi mwisho napata hasira sana.

1643897971240.jpg


1643719590777.jpg


Screenshot_20220302_071342.jpg
 
Sio kwamba wabunifu hawapo Tanzania,shida kubwa ni mfumo ulioasisi 10%,hii nchi kuna watu hawajali kuhusu kesho ya watanzania zaidi ya matumbo yao. Ni ajabu baada ya miaka 5 watafumua tena hiyo barabara kujiongezea ulaji.
 
hapa tunavyoongea kuna jitu liko busy ofisini linakomaa lifanye wizi kwa ajili ya familia yake na hata ukiliambia kitu linaweza hata kukuroga ufe... tena lisomi lina masters limesoma mpaka UK lakini kila siku linadhulumu mali za watz..
 
kupitia ufisadi, wizi nk ndugu zetu kila december wanakuja vijijini kwetu kuonyesha maendeleo na migari yao yakifahari huku tukijua ni mijizi...

Nchi hii inaweza kupona wote tukiwa serious kuanzia ngazi ya familia..
 
Sitii neno. Hawa ni majirani zetu tu hapo Kenya.
Nikifkiria kinachoendelea pale Mbezi mwisho napata hasira sana.

View attachment 2106569

View attachment 2106570
Wenzetu pale Wana ishi na ile principle ya SDG ..sustainability sasa sisi tunajenga leo after 5 yrs tunavunja like tulichojenga ....

Kiukweli pale kulistahili fly over walau ya km 2 toka njia ya Goba umakuja kudondokea zako hapa kibanda cha mkaa
 
Back
Top Bottom