maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
- Thread starter
- #101
Bora wajenge aisee maana wametia aibu sana. Japo nahisi Itakua ya kizushi sana hadi wanaona aibu kuonesha ramani yake. Huwa hawakawii kushare ramani ndo maana nnawasiwasi.Kuna fly over mbili pale, pale njia panda ya goba ni flyover kwa ajili ya hizo njia nne, na pale karibu na stand ni flyover ya mabasi kutokea stand