TANROADS njooni muone aibu

Hivi hamna namna Moderator mnaweza fanya kuwatag hawa Tanroads hii comment ya mdau waone tu hata hizi picha 🤣🤣🤣
Tafadhali tafadhali tusaidieni ili waache ubabaishaji
 
Hapa kwetu katiba tu imetushinda kubadilisha tumewaachia inzi was kijani ndio wanaamua kila kitu
 
Yaani hawa jamaa akili zao ni zile za kufanya kidogo leo ili kesho wafanye tena. Huwa nashangaa sana ile stendi ya malori...au nayo ni ya muda tu? Mbona wanalipua hivi aisee
Walishajenga nyingine kwamsuguri na magari Saba kwa hela nyingi sana za wananchi, wamezivunja wakajenga hii ya Kibanda Cha mkaa.
Anyway wacha wafuje hela zetu. Karma is real. Mzee mzima alikua na miaka 68 kustaafu hataki ili aendelee kupiga hela za tanroads. Mapema tu akiwa ofisini. Kuna njia nyingi za kuachia ofisi ati..
 
Halafu eti wakampa na legacy ya jina la flyover kuwa ni kichwa. Sijui waliobaki huko Tanroads wakoje sasa kama yule ndo kichwa
 
Kitu ambacho huwa sielewi structure zetu za barabara zikoje, kona au kuhama njia wanatengeneza fupi hasa kwenye mataa, kwa nini mtu hasiwe anaama njia ata mita 200 nyuma.

Mfano mtu anayetoka morocco kwenda mlimani city kupitia mwenge angefaa kuhama njia kuanzia itv, anatokea mwenge vinyago kwa mbele
 
Mzee wa haya madude hayupo na kama atakuja mwingine si kwa kiasi kama kile!.
 
hapa tunavyoongea kuna jitu liko busy ofisini linakomaa lifanye wizi kwa ajili ya familia yake na hata ukiliambia kitu linaweza hata kukuroga ufe... tena lisomi lina masters limesoma mpaka UK lakini kila siku linadhulumu mali za watz..
Hakuna sehemu ambako kuna upigaji kama TANROADS, Bila 10% huwezi pata tenda yoyote, na hapo ndipo huleta shida!!mwafrika ni shidaaa mno!!ktk dunia hii.
 
Ndo ujue jamaa ni wazembe maana eneo la barabara ni kubwa sana wao wanajaza tu traffic light ndo wanaona maendeleo...hata traffic light za itv zisingekuwepo mtu anaeenda bagamoyo road kutokea itv anaenda zungukia bamaga..the same na anaeenda itv tokea sayansi akazungukie mwenge kama ilivyo pale ubungo kwa gari zinazotokea mawasiliano kuelekea mlimani city. Sasa wamejaza taa kila sehemu yaani hadi ukafike morocco umekoma. Hata mi nawashinda mawazo
 
Barabara ya shopparz plaza mikocheni, mkandarasi katandaza mashimo harafu kayaacha siku inaenda ya kumi hii ka si nane, Tanzania sisi bila kushikiana viboko hatuendi
 
Barabara ya shopparz plaza mikocheni, mkandarasi katandaza mashimo harafu kayaacha siku inaenda ya kumi hii ka si nane, Tanzania sisi bila kushikiana viboko hatuendi
Mtamkumbuka kwa mazuri yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…