TANROADS njooni muone aibu

kupitia ufisadi, wizi nk ndugu zetu kila december wanakuja vijijini kwetu kuonyesha maendeleo na migari yao yakifahari huku tukijua ni mijizi...

Nchi hii inaweza kupona wote tukiwa serious kuanzia ngazi ya familia..
Word
 
Hapo juu ni express way ya kutoka Entebbe hadi Kampala 56 km na hapa chini ni Nairobi express way. Yaani hata Uganda wanatugalagaza. RIP jiwe

Pale Mbezi mwisho kuna project inaendelea, bahati mbaya sana hakuna mchoro walau kuonyesha ni kitu gani kinajengwa pale, seems like flyovers, tena mbili...let's wait and see kama kitatoka kitu au kituko.
 
Inasemekana ni vivuko vya waenda kwa miguu....flyover gani ya nondo bila nguzo
 
Yote umeandika au umeongea vizuri, ila sentence yako ya mwisho, fikiria tena na tena.
 
Kumbuka design zote hizo za Dodoma mzee baba aliziacha zikiwa tayari.

Design zake mbovu badala tuzipinge ndo kwanza nyie mnamuunga mkono. Mbezi ile ukipita sahivi wanarekebisha.
Barabara ya Morroco pale katikati aliwaza nini?
Kizege cha kivuko cha abiria wa Mbezi Terminal kiko chini ya viwango bora kivuko cha Kimara,Ubungo na Morocco vya JK
 
Yote umeandika au umeongea vizuri, ila sentence yako ya mwisho, fikiria tena na tena.
Mkuu Mimi nasafiri Sana kwenda Nairobi. My friend barabara zao huwezi linganisha sijui na Mkude flyover au matonya interchange
 
Kilikua kipindi Cha kipenzi Cha mwendakuzimu Bw. Mfuge Ale.
Alishapitisha miaka ya kustaafu Ila aliendelea kukalia kiti aendeleze upigaji. Mpaka mamlaka iliyo juu ya wateuzi ikammuvuzisha.
 
Magufuli alianza kufanya haya bavicha wakamtukana na kumkejeli kuwa hawataki maendeleo ya vitu. Wanataka kupiga kelele tu
Wabunge wote wenu
Mawaziri wote wenu
Hata huku chini ngazi ya vijiji, viongozi wote CCM.
Mbona Bei za bidhaa muhimu ndio Zina zidi kupaa Kama makombora ya kirusi huku maisha yakizidi kua magumu??
Mbona ndio madudu yanazidi?
 
Mkuu Mimi nasafiri Sana kwenda Nairobi. My friend barabara zao huwezi linganisha sijui na Mkude flyover au matonya interchange
Umekosea ulivosema Kenya is a developed country
 
Flyover 10 za magu ishabaki kuwa ndoto maana saizi kila mtu kaguu na njia kula bata nje hakuna anaekumbuka tena
 
Inasemekana ni vivuko vya waenda kwa miguu....flyover gani ya nondo bila nguzo
Serious?
Sidhani bwana, na zile barabara wanazojaza pale zitakuwa za nini?
 
Pale Mbezi mwisho kuna project inaendelea, bahati mbaya sana hakuna mchoro walau kuonyesha ni kitu gani kinajengwa pale, seems like flyovers, tena mbili...let's wait and see kama kitatoka kitu au kituko.
Wanajenga kituko kama cha tazara
 
Kuna fly over mbili pale, pale njia panda ya goba ni flyover kwa ajili ya hizo njia nne, na pale karibu na stand ni flyover ya mabasi kutokea stand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…