Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule mchezo wa pale ni WA kipekee mtu anaetoka Muhimbili kwenda Magomeni anatanua kulia kabisa kiasi kwamba anaetoka Kariakoo kwenda Muhimbili anapita katikati ya huyu anaeenda Magomeni na anaeenda Kariakoo!Na pale fire kutoka muhimbili hakuna taa inayoruhusu gari za kuingia morogoro road..watu wanatumia uzoefu tu
Waliwahi kutolea ufafanuzi kwamba anayekwenda Magomeni kutokea Muhimbili anatakiwa anyooke kwenda kariakoo akageuzie huko kisha arudi kwenda Magomeni, ila ni very poor design sijui nani alifanya huo utumboUle mchezo wa pale ni WA kipekee mtu anaetoka Muhimbili kwenda Magomeni anatanua kulia kabisa kiasi kwamba anaetoka Kariakoo kwenda Muhimbili anapita katikati ya huyu anaeenda Magomeni na anaeenda Kariakoo!
Yeah huo uliosema ndio utaratibu ila wakulungwa wamejiongeza kwasababu hamna wa kuwasimami si unatujua wabongo...Waliwahi kutolea ufafanuzi kwamba anayekwenda Magomeni kutokea Muhimbili anatakiwa anyooke kwenda kariakoo akageuzie huko kisha arudi kwenda Magomeni, ila ni very poor design sijui nani alifanya huo utumbo
🤪🤣🤣Yani uweeende urudi tena ugeuze unakotaka kwenda utawahi kweliWaliwahi kutolea ufafanuzi kwamba anayekwenda Magomeni kutokea Muhimbili anatakiwa anyooke kwenda kariakoo akageuzie huko kisha arudi kwenda Magomeni, ila ni very poor design sijui nani alifanya huo utumbo
Yah...mtu akiwa mgeni pale anaweza akazubaa pale masaa yote akisubr taa ..au itambidi akapitie Jangwani..sijui walikosea nn pale maana ni tatizo la muda mrefu sanaUle mchezo wa pale ni WA kipekee mtu anaetoka Muhimbili kwenda Magomeni anatanua kulia kabisa kiasi kwamba anaetoka Kariakoo kwenda Muhimbili anapita katikati ya huyu anaeenda Magomeni na anaeenda Kariakoo!
Wahuni Tanroads🤪🤣🤣Yani uweeende urudi tena ugeuze unakotaka kwenda utawahi kweli
Hapana.Hawajakosea. Madereva ndio hawataki kufuata utaratibu uliowekwa.
Pale ni ubishi wa madereva na support ya wale traffic wa Fire/Azania...maana watu wa michoro Tanroad itakuwa walichemsha namna ya kupafanya pawe pakubwa pale kama junctions nyingine au kuna mchoro wa flyover mbeleni huko...Na pale fire kutoka muhimbili hakuna taa inayoruhusu gari za kuingia morogoro road..watu wanatumia uzoefu tu
Sasa kama wamegundua walikosea design si wangeweka taa au kubadili design? Traffic mara ngapi wanaita watu wapite opposite side ina maana waliojenga mwanzo walikosea design?Hapana.
Pale ni user experience Vs Design
Na baada ya kugundua walikosea ku design pale, Askari wanaoongoza magari wao ndiyo walianza kuita watu wakunje kulia,
Hili tatizo lilikuwepo kinondoni mwanamboka,
Ikabidi wazirekebishe zile taa.
Ilikuwa ukikunja kulia kama unatoka mwananyamala kuelekea magomeni barabarani ni kosa inabidi uzunguke nyuma ya kituo cha daladala, then ndo urudi barabarani,
Waligundua ni upumbavu wakabadili.
Kwakuwa no hurry in Africa siyoWabongo mnapenda short cuts
But mbona kama vurugu za pale zimehalalishwa hv...Hawajakosea. Madereva ndio hawataki kufuata utaratibu uliowekwa.
Tatizo lipo na jinsi barabara ilivojengwa.Sasa kama wamegundua walikosea design si wangeweka taa au kubadili design? Traffic mara ngapi wanaita watu wapite opposite side ina maana waliojenga mwanzo walikosea design?