Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahio kikosi cha keko kipanuliwe kwa kusajili wachezaji wapya 😁Nafasi ya rugemalila na seth kule keko tunataka wafuatao ndio waende keko,mfugale,kakonko,DG atcl,DG TRC,dotto james,heri james,sabaya, bashite....hawa hawatakiwi kuona jua la saa 10 jioni wao mwisho iwe saa 9 kama ratiba ya magereza ilivyo.
Tukimaliza tunaanza na DK gwajima n naibu wake kwa vifo vya waliokufa n covid wakti wao wakifanya comedy za kunywa juice ya tangawizi n limao