TANROADS sasa mkae mguu sawa

Kwahio kikosi cha keko kipanuliwe kwa kusajili wachezaji wapya 😁
 
Sahihi kabisa ongezea na DPP angalau wakakae miaka tisa hivi wakisubiria ushahidi kukamilika kama walivyowatendea wenzao kuwaweka ndani miaka 6 kusubiria ushahidi.Hii itasaidia kuponya mioyo ya watz,walitutambia Sana hawa kwa mgongo wa mungu wao aliyelala mazima.
 
Huyu Gwajima huku amejifunika blanket na mumewe wakiwa wamevaa truck suit.
 
Maridhiano na nani? Anaongea issues ndani ya Chama maridhiano na wahuni wakati chama kilishakufa?
Kwani aliposema awapeleki maendeleo kwa wapinzani, aliposema safarii hii awakosei, aliposema uvccm wamekuwa wapole Sana jeshi lao KILA kitu chao,alipotoa kauli za kintarahamwe ulikuwa ujazaliwa nini?
 
Mheshimiwa Rais anataka mchanganuo wa kina wa uchunguzi hapo baadae baada ya ukaguzi huu 'detailed results'
 
Harafu majitu yanayojua praise and worship hayaoni madudu ya mwendazake yanamuona mwema kuliko hata malaika[emoji34]
Yule alikuwa muhuni tu aling'ata na kupuliza akiwekeza zaidi kwenye propaganda
 
Kwani aliposema awapeleki maendeleo kwa wapinzani, aliposema safarii hii awakosei, aliposema uvccm wamekuwa wapole Sana jeshi lao KILA kitu chao,alipotoa kauli za kintarahamwe ulikuwa ujazaliwa nini?
Hao jamaa hawana ubongo wamejaza makamasi kichwani
 
Hawezi kumuondoa labda atumie ubabe kama Yule mwendazake aliyemlazimisha Pr Assad astaafu Kwa lazima
Inawezekana.Nionacho watendaji wengi wanaenda na mdundo wa ngoma tutegemee hata maswaiba kuanza kumkana jiwe coz no longer.Si ajabu musiba kuanza kumponda jiwe Ili njia yake ya kwenda toilet isiote nyasi.Wanafiki Sana watu,ukupamba wanufaikapo.
 
Uko sahihi kiongozi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…