TANROADS sasa mkae mguu sawa

TANROADS sasa mkae mguu sawa

Wakati mwendazake ni waziri walitumika sana hao kutengeneza barabara hewa
 
Ni muda sahihi emg Mfugale akapumzika sasa umri pia maradhi hongera kazi nzuri......pumzika baba
 
Naongelea mienendo yake baada ya kumtazama kwa muda wote aliotumikia cheo cha uwaziri.

Nami nimeuliza kwa kumtazama yeyote katika muda wote aliotumikia cheo chochote katika kipindi cha mwendazake:

"Je, mliwahi kumkosoa yeyote akiwamo hata mwendazake mwenyewe?"
Barabara kubwa ya Ring Riad Dodoma imeshapigwa panga.

Mama aliahidi kuwafanyia audit tanroads, TPA na BOT ambapo wawili hao ilikuwa kwa msisitizo Jan - March 2021.

Pana mrejesho wowote kuhusiana na audit hizo?
 
Back
Top Bottom