TANROADS Tanga rekebisha sehemu ya Mwakidila kwenda daraja la wachina Mwahako, hakupitiki na mvua za leo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mchina amemwaga tope na sasa leo na mvua hii ya tangu saa 9 usiku mpaka sasa hapapitiki.

Tafadhali njooni mkwangue mtoe huo "uji" ambao umeweka madimbwi kwenye kipande hicho.

Kutoka Chalinze kwenda daraja la wachina.

Actually ni mpaka kwenda Kibaoni junction ya kwenda Mgwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…