Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok. Si vibaya. Acha mama ajiridhishe kwanza.Labda wanangojea fungu, nimedokezwa kuwa mifumo ya malipo yote imefungwa, pesa haitoki hadi maza akamilishe ukaguzi wake BOT. Inaonekana kuna watu walitaka kutajirika na kifo cha hayati.