Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Ukisafiri umbali mrefu kwenye Highways huku ukiwa makini utagundua kuwa, kuna alama nyingi tu hasa za speed limit hazipo barabarani; Nafikiri zimeondoka kwa sababu mbalimbali.
Mfano: Unakuta vibao vya Speed limit upande mmoja kipo, ila upande mwingine hakipo (ila kupigwa tochi kupo palepale) na Unaweza kuta kibao cha kuonesha hapo ni mwisho wa kuendesha kms 50 wakati hujaona kibao cha kuonesha ilipo anzia.
Kuna sehemu nyingine unakuta kibao cha kuonesha mwanzo wa kuendesha kms 50 ila hakuna kibao cha kuonesha mwisho wa kms 50 nk nk nk
Natamani wahusika wavirudishe mapema iwezekananvyo kuepusha ajali pamoja na kuepusha malumbano yanayoendelea kati ya Maderena na Traffic