TANROADS Wekezi Mzunguko hapa mataa Mjini Masasi

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,772
Reaction score
7,372
Masasi ni mji unaokua kwa kiasi kila kukicha.
TANROAD tunaomba mtuwekee mzunguko (round about) hapa Mataa MjiniKati katika mji wetu wa MASASi ili kufanya mji wetu upendeze zaidi maana tunaamini siku si nyingi tunaenda kupata Makao makuu ya Mkoa wa Masasi na Manispaa kabisa.

Hapa mataa ndio maunganisho ya Barabara ya kwenda nchi jirani, mikoa na wilaya mbalimbali nchini kama Msumbiji, Zambia, Songea, Njombe, Iringa Mbeya, Tunduru, Nachingwea, Liwale, Lindi, Mtwara, Dar, Newala na Tandahimba.
Pia tunahitaji njia 4 kutoka Mwanzo mwa Mji wetu Mailisita hadi Barabara ya Tunduru Mwenge Mtapika.

Dr. Akwilapo hebu pambania haya.
Your browser is not able to display this video.
 
Hatimaye wameanza utekelezaji, Sasa Masasi inajengwa round about kubwa mno pale Mataa au Magereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…