TANROADS yapiga maarufu Watu kupita kwenye Flyovers kwa Miguu

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
images (18).jpeg

Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) imewataka Wananchi kuacha kutumia Madaraja ya juu maarufu kama Flyover isivyotakiwa kama kupita kwa miguu juu ya Madaraja hayo au kupiga picha mnato( selfii),kupiga picha za harusi na kufanya mazoezi katika Madaraja hayo.
images (1).jpeg

Hayo yamesemwa na Meneja wa kitengo cha usalama Barabarani kutoka TANROADS makao makuu Mhandisi George Daffa akitoa elimu sahihi ya kutumia Madaraja hayo kwa watembea kwa miguu na Wanamichezo.

“Kuna wengine wanafanya mazoezi kule kwenye madaraja ya juu ni kujihatarisha usalama wako,vilevile kuna Watu wengine wanafanya mazoezi na kutembea katika Daraja la Tanzanite sehemu ya Magari yanapopita ile hairuhusiwi sababu unaweza pata shida ya kugongwa na Gari”

“Kutokana na sheria hawaruhusiwi kufanya mazoezi mule utakapo kamatwa unatembea katika Barabara za Magari au kupaki Gari lako na kupiga selfii unachukuliwa sheria kwa mujibu wa sheria za Barabara zinavyosema” Eng Daffa
 
View attachment 3191503
Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) imewataka Wananchi kuacha kutumia Madaraja ya juu maarufu kama Flyover isivyotakiwa kama kupita kwa miguu juu ya Madaraja hayo au kupiga picha mnato( selfii),kupiga picha za harusi na kufanya mazoezi katika Madaraja hayo.
View attachment 3191504
Hayo yamesemwa na Meneja wa kitengo cha usalama Barabarani kutoka TANROADS makao makuu Mhandisi George Daffa akitoa elimu sahihi ya kutumia Madaraja hayo kwa watembea kwa miguu na Wanamichezo.

“Kuna wengine wanafanya mazoezi kule kwenye madaraja ya juu ni kujihatarisha usalama wako,vilevile kuna Watu wengine wanafanya mazoezi na kutembea katika Daraja la Tanzanite sehemu ya Magari yanapopita ile hairuhusiwi sababu unaweza pata shida ya kugongwa na Gari”

“Kutokana na sheria hawaruhusiwi kufanya mazoezi mule utakapo kamatwa unatembea katika Barabara za Magari au kupaki Gari lako na kupiga selfii unachukuliwa sheria kwa mujibu wa sheria za Barabara zinavyosema” Eng Daffa
Bado hajaekewekaaa....hata kupita kawaida njia za wenda kwa miguu ni kosa pia ? Afafanue....
 
Ajaeleweka kwasababu madaraja hayo yana sehemu ya waenda kwa miguu
 
Miguu siyo chombo cha usafiri kwahiyo wapigwe marufuku bila huruma
 
Hapo wanalilenga daraja la Ubungo. Ata hivyo haina madhara kabisa.
 
Back
Top Bottom