KERO TANSECO Wilaya ya Nachingwea mnaikosea sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mzee Kimamingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2024
Posts
1,861
Reaction score
4,462
Tanesco Tanesco Tanesco

Nimewaita mara tatu kuomyesha Msisitizo.

Hii wilaya ya Nachigwea mkoa wa Lindi kwanini mnakata umeme mara nyingi kiasi hiki na Bila Taarifa kamili.

Mfano leo mshakata zaidi ya mara 10 na watu wanatumia vifaa je vikiungua mtaweza kulipa.

Kama mnakata ni bora mkate lakini sio hio mnakata mnarudisha then hata dk 20 haziishi mnakata tena.

Hii sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…