Kijakazi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2007 Posts 7,093 Reaction score 10,469 May 2, 2022 #1 Makamba anakwenda kuuza Tanesco yetu na watakao inunua ndio hao wanaolipwa mabilioni ya dowans, kwa kifupi, wanachukuwa hela zetu Serikalini tunawalipa halafu wanatumia fedha hiyo hiyo kuinunua Tanesco na kuimiliki, is a zero sum game, …
Makamba anakwenda kuuza Tanesco yetu na watakao inunua ndio hao wanaolipwa mabilioni ya dowans, kwa kifupi, wanachukuwa hela zetu Serikalini tunawalipa halafu wanatumia fedha hiyo hiyo kuinunua Tanesco na kuimiliki, is a zero sum game, …
Ridomil gold JF-Expert Member Joined Aug 22, 2020 Posts 2,790 Reaction score 2,232 May 2, 2022 #2 Ngoja aufungue inchi acha kupiga kelele