TANTRADE wamelala usingizi

kwani kila anachofanya jirani yako ni lazima na wewe ufanye?
 
Kama Mh. Rais Samia hatachukua hii comment yako kama pa kuanzia na wasaidizi wake, atakuwa hatutendei haki Watanzania.
Najua anapita humu sana tu.
Mkuu kwani unadhani hawana hizi taarifa? Huko serikalini nimekuta mabuku na mabuku ya sera, mipango mkakati, upembuzi yakinifu n.k ila tatizo lipo kwenye UTEKELEZAJI.
 
Umeongea kitu muhimu sana
 
Umeongea point kubwa

Inahitaji tafakuri pana sana kuipeleka mbele nchi hii
 
Tat
Ni matumaini Tukiwa wafatiliaji hatuwezi kuongea hayo yote
kama ni app ya Tantrade mbona inafahamika( Tantrade biashara app) ambayo mimi Binafsi nanufaika nayo kwa kujua mwenendo wa biashara kama bei, na Bidhaa gani zinahitakija ndani na nje ya nchi

Na pia ukifatilia hata kwenye website na social medial za Tandrade, kuna mafunzo yameendelea pale Trade mfano tarehe 9 mwezi January 2023 Tantrade ilitoa seminar ya biashara kwa baadhi ya wanafunzi wa chuo chuo cha usimamizi wa fedha(IFM) na ni vijana wadogo sana lakini wanaandaliwa kuanza na kukuza biashara zao.

Hata hio seminar ya Dubai kwa Utashi wangu ni lazima waende ili waweze kujua fursa zilizopo na bidhaa gani zinahitajika masomo nje. Hivi vitu vyote hatuvifahamu kwa sababu ya kutokua wafuatiliaji

Website(tantrade.go.tz)
Export procedures
trade.tanzania.go.tz
App(TanTrade Biashara App)
 
Musa mahsusi wa kula Tena viingilio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…