South Africa, Congo, kuna masoko ya mchele makubwa, Uganda , Rwanda, Burundi wanahitaji sana mchele, kenya, uganda, rwanda uhitaji mkubwa wa karanga nyekundu kubwa ambapo malawi huvuna mabilioni ya mapesa huko, sudani kusini na uganda soko kubwa la muhogo hao walitakiwa kwanza waende kwa wakulima wawaeleze kua walime zao fulani kwa ukanda huo la biashara halafu wahakikishe wametafiti masoko hayo uhitaji ni muda upi, lakini wanafanya ziara duniani za ujanja ujanja hawana faida sawa na bodi ya mazao mchanganyiko wapo wapo tu bila faida