Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #61
Ina maana huyu miaka yote starz ikifungwa alikuwa anacheza.Uwepo wa Kibu Denis kwenye hiki kikosi unasababisha tufungwe leo
Mark my words
Siasawaziri mkuu alienda kufanya nini uwanjan jana??!!!...ona sasa!!...
Kibu anakamilisha tu idadi ya wachezajiInamaana huyu miaka yote starz ikifungwa alikuwa anacheza.
Heshimu wachezaji wetu.
Wanasiasa wanahibu mpira wetuHatuwezi pita kule kwenye play off
Ndio kikosi kilichofungwa na Madagaska?Kikosi chote cha Congo kinachocheza Sasa hivi wote wanacheza vilabu vya ulaya ,wawili tu ndo wanacheza Africa tena Morocco na South Africa.
Tanzania bado sana ila tunasumbua tu
Mkuuu hata hiyo buku sasa hivi ni ngumuUwanja mweupeeee kabisaaa, wangweka kiingilio buku