escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Samatta iko shida aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahhSamatta anapiga nje
Uchawi gani wakati tumezidiwa...wachezaji wetu hawana utulivu....Uchawi upo asee
Ni KWATAANaona dalili za kwenda CATAR sio QATAR
😂😂Naona dalili za kwenda CATAR sio QATAR
Hahaha hata mm nimeiona nikaishia kusema hiii bhaghosha😂Naona dalili za kwenda CATAR sio QATAR
Mnyonge na bango lake😂😂hahaha hata mm nimeiona nikaishia kusema hiii bhaghosha😂
Angalia lineups utapata jibuNdio kikosi kilichofungwa na Madagaska?
Hata kama hatuendi hii game stars inashinda.Naona dalili za kwenda CATAR sio QATAR
Sasa hawa wenzetu uwezo binafsi wa wachezaji upo juu,chances tunazokosa kwao akipata mmoja tu ni matokeoMkuu sisi tunaishi kwa hamasa