Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajanja sana ili waseme serikali imesaidia ikifanya vizuri wakati toka mwanzo walikuwa kimyando maana nikahoji yule muongo wa taifa jana alienda kufanya nini pale uwanja?
Kwani hao Congo wanachezea kivulini?Hata kama hatuendi hii game stars inashinda.
Tatizo sijuwi maandazi gani amepanga hii mechi ichezwe na jua kali hivi?
Jua kali advantage kwetu ndugu hao wacongo wengi wanacheza UlayaHata kama hatuendi hii game stars inashinda.
Tatizo sijuwi maandazi gani amepanga hii mechi ichezwe na jua kali hivi?
Hawa zero chance anakuweka fasterSasa hawa wenzetu uwezo binafsi wa wachezaji upo juu,chances tunazokosa kwao akipata mmoja tu ni matokeo
BasiWatanganyika sikwampira kazi yao wanayo jua nikuwabambikizia watu kesi
Na Samatta kabaki jina tuToa kibu hana anachofanya.
Ni team inacheza kifaza au jua kaliKiungo cha Stars kimepoteana