ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kuna ushuzi tu njeHT......hivi kuna sub gani ya maana nje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ushuzi tu njeHT......hivi kuna sub gani ya maana nje?
Kaishazeeka yule hamna kituNdio maana walimtoa nduki EPL
Kibu Denis ilitakiwa aanze nje, halafu Erasto Nyoni aje acheze na Dismas pale katikati kama two holding mildifieders na Feisal salum aende akacheze namba 10 kama attacking mildifiederKwann mkuu?
Kibu Denis ilitakiwa aanze nje, halafu Erasto Nyoni aje acheze na Dismas pale katikati kama two holding mildifieders na Feisal salum aende akacheze namba 10 kama attacking mildifiederInamaana huyu miaka yote starz ikifungwa alikuwa anacheza.
Heshimu wachezaji wetu.
Tz 0Matokeo Hadi mda huu???
Kibu Denis ilitakiwa aanze nje, halafu Erasto Nyoni aje acheze na Dismas pale katikati kama two holding mildifieders na Feisal salum aende akacheze namba 10 kama attacking mildifieder
Note: Feisal siku hizi majukumu ya kukaba hayawezi, ila ni mzuri sana katika box la mpinzani, na sasa anacheza chini sana
Nadhani utakuwa umenielewa mkuu
Kwasasa Bocco anahitajika sana kwa namna yake ya kuforce mashambuliziNimekusoma mkuu
Umri wake sawa na wa Boss Mo!Kaishazeeka yule hamna kitu
Huyo fei huwa anapoteana.Usitegemee kumuona Feisal Salum kama akiendelea kucheza chini
Kwasasa Bocco anahitajika sana kwa namna yake ya kuforce mashambulizi
Ametoka naniMuzamil ndani