Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Hayo majarida uliyoquote yote yanaongelea situation ya mwaka jana, ambayo kiuhalisia haikwepeki kua ukame ulipita na kusababisha kuwa na upungufu wa chakula, sio njaa!Na nimekuuliza hapa mara ngapi kama Kenya haizalishi vyakula, ya kwambs inategemea tu vyakula kutoka Tanzania na donations?
Too bad that I have limited time these days to spend arguing on the social media, otherwise ningeanzisha thread to discuss how much of the different kinds of foods Kenya produces/ consumes/ exports annually in comparison with Tz,ili tuwekane sawa.
Your agricultural output, and here I am referring to the food production, does not exceed ours. Not by such a significant margin.
Look at the amout of some selected grains, esp the staples such as maize both countries produced last year and the year b4:
www.fao.org/giews/countrybrief/country.jsp?code=KEN
www.fao.org/giews/countrybrief/country.jsp?code=TZA
Even though Kenya does not produce as much grain as Tanzania, it's effort I can say is quite impressive, given the that only 17% of the land is arable, and not even the whole of the fertile portion has been put under foodcrops production.
Na hapo hatujaweka fruits, vegetables, milk and meat etc.
Mimi nimequote mpaka majarida zenyu kuhusu hali ya njaa huko na bado unapinga tu.
Kenya pia inauza vyakula na ni nchi yenye njaa.
Kenya also produces and exports foodstuff, the cases of hunger, and the fact that we import maize from u guys do not change that fact.
Hayo majarida yote uanaongelea hicho, food shortage sio hunger! Wakati hapa kwetu baadhi ya maeneo yakiwa na food shortage, nyie huko mlikuwa mnachangiwa chakula!
Kitu ambacho unatakiwa kuelewa pamoja na kuleta vijarida kila post( mimi nimeshaweka sioni haja ya kurudia kila mda) ni kuwa hali Tanzania ni taifa ambalo linajitosheleza kwa chakula wakati Kenya haijitoshelezi kwa chakula!
Nimalizie kwa kukukumbusha tena kuwa nyie kwa sababu mnajiita mna uchumi mkubwa suala la njaa kwenu ni aibu kubwa sana tena sana.
Kigezo cha kusema eti only 17% ya ardhi ni arable sio hoja! Egypt ambao ni sawa na nyie kama mnavyodai wao 100% ya ardhi ni jangwa, lakini hawajui kitu kuhusu njaa! Angalia Israel and the likes!
Hivyo kama mnalalamika eti maeneo ni makame mkubali kuwa hizo data za uchumi weni ni fabricated ndo maana hamwezi kumaliza tatizo la njaa
By the way, unasema production ya Kenya ikoje? Pitia tena hz takwimu ulizoleta hapa