Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa unaishi ughaibuni wa nchi gan Venezuela,Iran au Zimbabwe?Baada ya kuishi ughaibuni kwa muda mrefu sasa nimerudi home nakuta maisha ya Watanzania ni mabovu sana, elimu duni, bidhaa bei juu, kweli Tanzania is a grave of poverty.
Ulichosema ni kweli kabisa.MTU aliyetoka ughaibuni hashangai bei za vitu kuwa juu . Hushangaa kwa nini parachichi linauzwa Tsh 500/ wakati uingereza linauzwa Tsh 10,000/
Hushangaa kiwanja kinauzwa laki 3, wakati ughaibuni hakuna kiwanja cha kununua .
MTU wa ughaibuni hutamani life style yetu , je wewe umetoka ughaibuni ya wapi?
Hata inch ilizotaja zipo vizuri kimiondombinu kuliko Tz for sureUlikuwa unaishi ughaibuni wa nchi gan Venezuela,Iran au Zimbabwe?
Ndio ila pesa zao ndio zipo inflated mbaya ndio mana anaona chapi ni bei ghali kwa kuuzwa 200/=Hata inch ilizotaja zipo vizuri kimiondombinu kuliko Tz for sure
Nani ka kwambia hakuna umasikini huko ugaibuni. Watu hawana chakula, wanafanya kazi kama watumwa. Hata sehemu ya kulala hawana. Wanaishi kwa misaada tu. Kulala kwenye magari. Hata hospitali kwenda hawawezi
Hahaha, amekuwa kama watu fulani hivi TBCCM huwa wanaonesha maendeleo ya nje wakisema ndicho kinachofanyika TZ lakini kurudi hawataki, wanaona bora kuendelea kubeba maboksiKwa nini umerudi? Rudi ughaibuni
Sasa si yeye amesema ukweli? Mbona ukweli inawauma sana hivi?
Naona unakejeli kiswahili changu kibovu, hehehe.Sasa si ni mTanzania pekee kwenda ubeberuni?
😛 😛 😂
Sasa mbaya nini Tony!!??
Naona unakejeli kiswahili changu kibovu, hehehe.