Tanzania absolute poverty is on another level

Tatizo wanasiasa wamewadanganya watanzania kwamba sasa tumekuwa kama ulaya, kwa vile vi flyover vya kishamba vya ubungo na mfugale. Tungekuwa na flyover kama ya hi5 Dallas sijui wangejiona wako wapi
 
Ulichosema ni kweli kabisa.
 
Nani ka kwambia hakuna umasikini huko ugaibuni. Watu hawana chakula, wanafanya kazi kama watumwa. Hata sehemu ya kulala hawana. Wanaishi kwa misaada tu. Kulala kwenye magari. Hata hospitali kwenda hawawezi.

 
Kaendelee Kuwa mpangaji kwenye nyumba za watu ulaya.kaendelee kusonywa na kubaguliwa na wazungu huko Ulaya, kaendelee kulelewa na vibibi vizee huku Ulaya, kaendelee kulala kwenye vigodoro vya 3kwa4 kama vya watoto,ukifa utakao waacha waombe fedha za kukurudisha kama mzigo uzikwe bongo.

Nenda tu bongo hakuna maskin kama yupo basi ni mzee alitetelekezwa na watoto kama wewe anayejari kwengine na sio kwao.
 
Ni mkunyaa huyu watanzania msiumize vichwa, tukimpiga spana kubwa kubwa huzama kwenye hii ID yake nyingine na kutema utopolo kama huu kama relief therapy japo spana bado zinaendelea 😁😁😁😁
 
Nani ka kwambia hakuna umasikini huko ugaibuni. Watu hawana chakula, wanafanya kazi kama watumwa. Hata sehemu ya kulala hawana. Wanaishi kwa misaada tu. Kulala kwenye magari. Hata hospitali kwenda hawawezi


Hehehe!! Wacha kuchekesha bana, yaani unalinganisha hicho wanachoita umaskini kwao na ukata unaowakumba 72% ya Watanzania.



 
Manyang'au wamevamia uzi! Mleta maada wewe mwenyeji wa mkoa gani? Tuanzie hapo
 
Kwa nini umerudi? Rudi ughaibuni
Hahaha, amekuwa kama watu fulani hivi TBCCM huwa wanaonesha maendeleo ya nje wakisema ndicho kinachofanyika TZ lakini kurudi hawataki, wanaona bora kuendelea kubeba maboksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…